2 Chronicles 27:5

5 aYothamu akafanya vita na mfalme wa Waamoni na kumshinda. Mwaka ule Waamoni wakamlipa talanta 100
Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.75.
za fedha, kori 10,000
Kori 10,000 za ngano ni sawa na tani 2.2.
za ngano na kori 10,000 za shayiri. Waamoni wakamletea kiasi hicho hicho mwaka wa pili na wa tatu.

Copyright information for SwhKC